Kwa wale waliosoma alichokiandika aliyekuwa CEO wa Simba na Yanga Senzo atawaonea huruma Yanga wakienda Afrika Kusini Wiki ijayo

Kitu kinachonishangaza sana . Wale jamaa wanahatihati ya kushuka Daraja wapo nafasi ya 13 Katika timu 16 PSL.

IMAGINE WANGEKUWA NI ....

MAMELOD.
OLANDO.
KAIZERCHEEF INGEKUWAJE?????.


yanga Bado sana
Ni wenye Akili Kubwa wachache sana hapa JamiiForums ( wakiongozwa nami GENTAMYCINE ) ndiyo tutakuelewa kwa huu Ukweli Kuntu uliouandika ila usitegemee kabisa Kueleweka na Mazuzu / Majuha mengi kutoka Jangwani yaliyojazana hapa.
 
Sauzi kama kijiwe kwa msela watu wanaenda kula nyasi..... Hapa inawazwa fainali sio nusu tena
 
Some yrs back
When you singled out Tutsi Ethnicty and denounce them as not real African and compared them to jews ndo nikagundua ur just none …
Mbona una Kiingereza cha Darasa la Tatu? Yaani hata Mwanangu Junior hawezi kuwa na Kiingereza cha Kiwango cha chini ( cha Kawaida mno ) kama hiki.
 
Hata hujui hii ni social platform na tunalipia kuisoma
Tengeneza jamii forum ya kwako , i swear i wont get any closer
Pumbavu unalipia Kusoma JamiiForums? Tokea lini? Nikikuita Mwendawazimu Uliyetukuka nitakuwa nakukosea Gegedu Wewe?
 
Sema tumeshinda mbili Kwa nunge hayo mengine yatajijua huko huko tukifika
 
Ni wenye Akili Kubwa wachache sana hapa JamiiForums ( wakiongozwa nami GENTAMYCINE ) ndiyo tutakuelewa kwa huu Ukweli Kuntu uliouandika ila usitegemee kabisa Kueleweka na Mazuzu / Majuha mengi kutoka Jangwani yaliyojazana hapa.u
Mbona una Kiingereza cha Darasa la Tatu? Yaani hata Mwanangu Junior hawezi kuwa na Kiingereza cha Kiwango cha chini ( cha Kawaida mno ) kama hiki.
Again unahisi kujua lugha ya mwenzio ndo akili
Very poor mentality
 
Mbona una Kiingereza cha Darasa la Tatu? Yaani hata Mwanangu Junior hawezi kuwa na Kiingereza cha Kiwango cha chini ( cha Kawaida mno ) kama hiki.
Nakukumbusha hizo english za mwanao mfundishe ila hustle za kutafuta hela ni kariakoo english hakuna ni akili za kitaa tuu
 
Wewe nawe huishi kuhangaika ili mrafi tu ulete uzi. Hebu tusmbie timu ipi ilifungwa goli nne na hao makolo wenzako wa Afrika Kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…