Kwa wale waliosoma alichokiandika aliyekuwa CEO wa Simba na Yanga Senzo atawaonea huruma Yanga wakienda Afrika Kusini Wiki ijayo

Pompoma mwandamizi
 
Kwani wewe Genta una kazi gani mjini, mbona kama haupo busy na maisha kama wengine, maana hizi nyuzi ni nyingi mno
 
Mwananchi sio robo fainali FC kama kolo,tumewapiga ndani wasubiri na nje,tena huko tutawashushia kipigo kizito 😂😂😂
 
Rekodi za Yanga ugenini zinawabeba sana
 
Kitu kinachonishangaza sana . Wale jamaa wanahatihati ya kushuka Daraja wapo nafasi ya 13 Katika timu 16 PSL.

IMAGINE WANGEKUWA NI ....

MAMELOD.
OLANDO.
KAIZERCHEEF INGEKUWAJE?????.


yanga Bado sana

Pyramid anayeshika nafas ya 3 ligi ya kwao katolewa,, vipi na yeye pyramid ni bado sana?
 
Nakuhakikishia Gallants anakufa tena palepale KWAKE
 
Kwani wewe Genta una kazi gani mjini, mbona kama haupo busy na maisha kama wengine, maana hizi nyuzi ni nyingi mno
Nikiwa na Mama yako Faragha ndiyo huwa busy zaidi kwa Kazi yangu Maalum iliyotukuka.
 
Genta kwenye ubora wako. Karisimatiki gemu chenja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…