GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Sipendi Unafiki, Sanifu, Uchokozi na Dharau. Niliyokupa ni Dozi fupi ya Kukufanya uwe makini next time sawa?Ila cjauliza kwa ubaya umenijibu shit
Daah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi Unafiki, Sanifu, Uchokozi na Dharau. Niliyokupa ni Dozi fupi ya Kukufanya uwe makini next time sawa?Ila cjauliza kwa ubaya umenijibu shit
Daah
Wewe hunyi?Unapenda kunya kunya
Uliotukuka.Genta kwenye ubora wako. Karisimatiki gemu chenja
SikupingiUliotukuka.
"Ni kweli nimekaa Tanzania na Mimi sasa ni Mwanamchi mwana Yanga SC ila nawaonya Yanga SC kuwa wahakikishe katika Mechi yao ya Dar es Salaam dhidi ya Marumo Gallants FC wajitahidi wafunge Goli kuanzia 3 kwenda mbele ila wakifunga Goli 2 wajue wakija Kurudiana nao huku Afrika Kusini watakuwa na Mchezo mgumu na Watafungwa Goli nyingi zaidi kwani Marumo Gallants FC wakiwa Uwanja wake wa Nyumbani huwa na Mpira wa Spidi sana huku wakiwa na Hasira ya Ushindi kama Nyuki wanaolinda Mzinga wenye Asali na Malkia ndani yake" amesema Senzo Mbatha Mazingisa aliyekuwa CEO wa Simba SC na baadae Yanga SC.
Haya huwa mnanibishia sana na Kipopoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums nikisema Ukweli au Nikichambua Soka sasa naomba na leo pia Mbishieni mwana Yanga SC Mwenzenu Senzo Mbatha Mazingisa kwa Ukweli wake Kuntu aliousema kama mna huo Ubavu.
Kudadadeki.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) na Mpumbavu ( Damn Fool ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.