kwa wale waliosoma BSc General UDSM msaada

Lovenita

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
23
Reaction score
3
naomba kufahamishwa kwa wale waliosoma bachelor of science general udsm baada ya kumaliza unafanya kazi gani au namaanisha unaweza kuwa nani, na unaweza kufanya kazi na taasisi gani? naomba majibu yenye msaada kwangu kama mtu huna jibu please pass
 
Pole sana,mpaka sasa hivi haujajua hatima yako (get prepaired for disappointments)

How can you prepaired your tomorrow when you havent yet made your today..??,ungeuliza ni vipi unaweza ku undertake that course,tungekuelewa unahitaji kitu cha msingi zaidi ya hicho ulichouliza....

Nenda kasome kijana,baadae ukipata gpa za kueleweza af kitu kimebuma,rudi tukupe dira...!!
 
nimesema kama mtu hana jibu pass sasa wewe umetoa jibu au umejisikia tu kuandika we ungepita tu uwaache waliosoma hiyo course wajibu
 
siwezi kukujibu kwasababu ya jina lako tu hainiruhusu
 
siwezi kukujibu kwasababu ya jina lako tu hainiruhusu

Isn't the right time to judge me nor words spoken...

A time will reach that you'll come with a different post from this,converging to my views...

Believe it or not,graduating from college with the so called 1st class gpa,doesn't cause you suddenly to morph into 'magical unicorn' of job applicants...
It doesn't automatically make you so special or unique to be employed (sorry for bursting your bubble)-but it doesn't make you awesome...

Kasome kijana
 
nimesema kama mtu hana jibu pass sasa wewe umetoa jibu au umejisikia tu kuandika we ungepita tu uwaache waliosoma hiyo course wajibu

Usiwe kama mtoto,ukishauriwa unalia lia...!!
Nowadays life isn't as you think kijana,it used to be that if you graduated from college,kept your gpa high enough,ukiingia office za pale posta you'd be a poster child of job applicants,it was once considered the gold standard,but today the gold standard has become the new boring....

Guess what...???
There are thousands of people out there,wamebebelea bahasha za khaki wanatangatanga kwenye office za watu,they all have bsc degrees....
What makes you different..??
Hata iyo degree hujanyakua....

Kasome ndg....
 
povu!!!! povu!!!! povu!!!:A S angry::A S angry:
 
Inategemea na ume major kwenye nini Lovenita, kama ni statistics utafanya kwenye mashirika au makampuni ya Statistics au TRA au ualimu wa Statistics na kama ni Physics huwa unafanya kwenye vyuo au makampuni yanayohusu mambo ya Physics.
 
povu!!!! povu!!!! povu!!!:A S angry::A S angry:

Ukimaliza kadegree kako utakuja kwa kitaa,then utawauliza wakongwe wa misele ya kufukuzia ajira
*eti ninaweza kuwa nani..??
*kazi gani..??
*taasis gani..??
Wakikupa majibu makini this time utasema ::::A S HAPPY:::A S happy::::

Vijana wa siku hizi wanawaza tope kweli kweli afu wanategemea great pieces of profits....
*copying the grade xii cambridge girl's homework...

*spending rest of class hours flinging boggers at the ---- infront of him...
This kid has a degree from conaa udsm...!!
Would you hire him...!!
Enough said....
 
et prepaired????watoto wa MULUGO tabu kweli kweli..
 
Inategemea na ume major kwenye nini Lovenita, kama ni statistics utafanya kwenye mashirika au makampuni ya Statistics au TRA au ualimu wa Statistics na kama ni Physics huwa unafanya kwenye vyuo au makampuni yanayohusu mambo ya Physics.
Asante sana ndg mjanja what if ukimajor kwenye chemistry au applied microbiology?
 
Asante sana ndg mjanja what if ukimajor kwenye chemistry au applied microbiology?

Hiyo ni nzuri pia Lovenita, unapata kazi sehemu nyingi tu kama kwenye viwanda vya sabuni, viwanda vya soda, viwanda vya bia, Viwanda vya maji ya kunywa, au mashirika ya kilimo, na vya kufanana navyo.......
 
nashukuru sana ndugu yangu u deserve to be an expert sio wengine kazi kuponda tu na mimi najua umewasaidia wengi pamoja na hao asante sana kaka
 
nashukuru sana ndugu yangu u deserve to be an expert sio wengine kazi kuponda tu na mimi najua umewasaidia wengi pamoja na hao asante sana kaka

Karibu sana. Huwa bado ninaamini JF ni ya kusaidiana, kufundishana na si kinyume chake. Hakuna haja kupondana Kwenye JF kama ilivyo baadhi ya wengi wetu siku hizi
 
Karibu sana. Huwa bado ninaamini JF ni ya kusaidiana, kufundishana na si kinyume chake. Hakuna haja kupondana Kwenye JF kama ilivyo baadhi ya wengi wetu siku hizi

mkuu naomba ujaribu kunifafanulia hpo kma mtu atadeal na physics ni sehemu gn anaweka kufanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…