Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba kufahamishwa kwa wale waliosoma bachelor of science general udsm baada ya kumaliza unafanya kazi gani au namaanisha unaweza kuwa nani, na unaweza kufanya kazi na taasisi gani? naomba majibu yenye msaada kwangu kama mtu huna jibu please pass
siwezi kukujibu kwasababu ya jina lako tu hainiruhusuPole sana,mpaka sasa hivi haujajua hatima yako (get prepaired for disappointments)
How can you prepaired your tomorrow when you havent yet made your today..??,ungeuliza ni vipi unaweza ku undertake that course,tungekuelewa unahitaji kitu cha msingi zaidi ya hicho ulichouliza....
Nenda kasome kijana,baadae ukipata gpa za kueleweza af kitu kimebuma,rudi tukupe dira...!!
siwezi kukujibu kwasababu ya jina lako tu hainiruhusu
nimesema kama mtu hana jibu pass sasa wewe umetoa jibu au umejisikia tu kuandika we ungepita tu uwaache waliosoma hiyo course wajibu
povu!!!! povu!!!! povu!!!:A S angry::A S angry:Usiwe kama mtoto,ukishauriwa unalia lia...!!
Nowadays life isn't as you think kijana,it used to be that if you graduated from college,kept your gpa high enough,ukiingia office za pale posta you'd be a poster child of job applicants,it was once considered the gold standard,but today the gold standard has become the new boring....
Guess what...???
There are thousands of people out there,wamebebelea bahasha za khaki wanatangatanga kwenye office za watu,they all have bsc degrees....
What makes you different..??
Hata iyo degree hujanyakua....
Kasome ndg....
povu!!!! povu!!!! povu!!!:A S angry::A S angry:
Pole sana,mpaka sasa hivi haujajua hatima yako (get prepaired for disappointments)
How can you prepaired your tomorrow when you havent yet made your today..??,ungeuliza ni vipi unaweza ku undertake that course,tungekuelewa unahitaji kitu cha msingi zaidi ya hicho ulichouliza....
Nenda kasome kijana,baadae ukipata gpa za kueleweza af kitu kimebuma,rudi tukupe dira...!!
et prepaired????watoto wa MULUGO tabu kweli kweli..
Asante sana ndg mjanja what if ukimajor kwenye chemistry au applied microbiology?Inategemea na ume major kwenye nini Lovenita, kama ni statistics utafanya kwenye mashirika au makampuni ya Statistics au TRA au ualimu wa Statistics na kama ni Physics huwa unafanya kwenye vyuo au makampuni yanayohusu mambo ya Physics.
Asante sana ndg mjanja what if ukimajor kwenye chemistry au applied microbiology?
nashukuru sana ndugu yangu u deserve to be an expert sio wengine kazi kuponda tu na mimi najua umewasaidia wengi pamoja na hao asante sana kakaHiyo ni nzuri pia Lovenita, unapata kazi sehemu nyingi tu kama kwenye viwanda vya sabuni, viwanda vya soda, viwanda vya bia, Viwanda vya maji ya kunywa, au mashirika ya kilimo, na vya kufanana navyo.......
nashukuru sana ndugu yangu u deserve to be an expert sio wengine kazi kuponda tu na mimi najua umewasaidia wengi pamoja na hao asante sana kaka
Karibu sana. Huwa bado ninaamini JF ni ya kusaidiana, kufundishana na si kinyume chake. Hakuna haja kupondana Kwenye JF kama ilivyo baadhi ya wengi wetu siku hizi
Ndio umeona pa kutokea ama?
Acha utoto,wewe mtoto wa ****** tuambie ??????? Maana yake nini?