Munamuge
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 810
- 795
Daah! Imebidi nijibu kwenye uzi huu japokua ni wa kitambo. Katika pitapita zangu nimekuta ulimtaja Fr. Damas Mahali, mwamba sana. Alitufanya tukaipenda Hesabu na Fizikia.ulipita miaka ipi unamkumbuka Fr mlengule,Damas mahali,vipi ile operesheni ya kupanda chai mawolo ulishiriki,lakini ile ya kupanda miti Ruhuji ndo ilikuwa noma aiseee