Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Ongeza sauti hatuja kusikia vizuri hapo eti nini.????Nimekumbuka limamantilie limoja lilikuwa limanyofoa mavuzii kuweka kwenye vitumbua nikaliona likanibembeleza nisiseme, nikakaa kimya ila nkaachaga kununua kwake
Alipewa rushwaHii kali ungesema tu. 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
kumuita Dr ni kudhalilisha taaluma, tumpe jina la kutumia kwa muda, hadi mjadala utakapoishia. napendekeza tumuite "Nduli"huyo daktari ni hatari sana duh!
Tuandikie hizo unazozikumbuka.Mimi ni msiri sana mpaka siri nyengine nimezisahau.
binti wa kazi wa tundu lissu hayupo hum jukwaani??Binadamu katika mazingira mbali mbali,ukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri,
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya,
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya,
Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa,
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994 , na hakuna aliyejua,
Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa Hela ya kutosha
Najua na wee una siri umetunza tudokeze
Kuna kuliwa tigo hapa.Kuna vitu sitakuja kuvisema hadi nazikwa, iwe kwa anaenifahamu au asiyenifaham. Iwe ni kwa kuandika au kwa kuongea. Sitakuja kuviweka wazi.
DuhTukiwa wapangaji wote kwenye nyumba flani hv, kuna mpangaji mmoja alikuwa mnoko sana maana ye alikuwa ndio mkusanyaji kodi na kumpelekea bosi. Sasa mpangaji huyu akajisahau akawa ana tutriti kama ye ndio bosi.
Nilikuwa na kibaisikeli changu cha gia cha kuendea kazini, sasa kilikuwa kinalala koridoni na pikipiki zake mbili aina ya triller ilikuwa ni lazima baiskeli niingize saa tano usiku wakati wa kulala na kutoa ilikuwa ye ndio anatoa maana alikuwa anawahi kuamka ili atoe vitu vyake vya duka lazima aanze pikipiki zake na baiskeli yangu
Sasa kuna siku nilisafiri kama siku mbili hv kurudi baiskeli sikuiona kumuuliza akanijibu hiyo baiskeli nilimwachia? Au kuna sehemu tuliandikiana kuwa nimemkabidhi? Nikapiga kimya upelelezi wangu nikagundua aliiuza buku 50, nikamfata dogo aliyeuziwa nikampa 50 yake nikarudi ghetto sikutaka kwenda polisi wala nn, alipoiona ghetto akauliza ehh umeipata nikamjibu si unaiona hapo
Baada ya mwezi niliamka saa 7 usiku na pakiti 4 za chumvi nikafungua tank za pikipiki zake nikamwaga ilipofika asubuhi pikipiki haziwaki hadi nahama pikipiki ziko stoo na kutu la kutosha aliogopa kuniuliza maana najua gereji walimwambia nini kilikumba pikipiki zake
Duh!Tukiwa wapangaji wote kwenye nyumba flani hv, kuna mpangaji mmoja alikuwa mnoko sana maana ye alikuwa ndio mkusanyaji kodi na kumpelekea bosi. Sasa mpangaji huyu akajisahau akawa ana tutriti kama ye ndio bosi.
Nilikuwa na kibaisikeli changu cha gia cha kuendea kazini, sasa kilikuwa kinalala koridoni na pikipiki zake mbili aina ya triller ilikuwa ni lazima baiskeli niingize saa tano usiku wakati wa kulala na kutoa ilikuwa ye ndio anatoa maana alikuwa anawahi kuamka ili atoe vitu vyake vya duka lazima aanze pikipiki zake na baiskeli yangu
Sasa kuna siku nilisafiri kama siku mbili hv kurudi baiskeli sikuiona kumuuliza akanijibu hiyo baiskeli nilimwachia? Au kuna sehemu tuliandikiana kuwa nimemkabidhi? Nikapiga kimya upelelezi wangu nikagundua aliiuza buku 50, nikamfata dogo aliyeuziwa nikampa 50 yake nikarudi ghetto sikutaka kwenda polisi wala nn, alipoiona ghetto akauliza ehh umeipata nikamjibu si unaiona hapo
Baada ya mwezi niliamka saa 7 usiku na pakiti 4 za chumvi nikafungua tank za pikipiki zake nikamwaga ilipofika asubuhi pikipiki haziwaki hadi nahama pikipiki ziko stoo na kutu la kutosha aliogopa kuniuliza maana najua gereji walimwambia nini kilikumba pikipiki zake
mbona kawaida sanaNna siri nyingi hata nafsi yangu siwezi kuiambia.......
ngoja niwape siri sijui ndio mkasa.....
nina classmate wangu wa ps enzi hzo 2000's, tumeshibana sana since then! yeye baada ya kuhitim std 7 akaamua kuingia kitaa kupambana , mm nikaendelea na shule....Mungu si athuman mbishe za mchiz zilienda powa sana na hustlin za kutosha hatimae mdogo mdogo akatusua...... nikiri hata nikiwa chuo jamaa amenisapoti sana pocket money....
regardless profile zetu kielimu na kimafanikio bado tunaheshimiana sana na kusapotiana thou wote kwa sasA tuna maisha yetu japo mchiz kanizidi hatua kadhaa......
ee bhana huwa nikienda mkoa anaoishi nashukia kwake fresh....na nikiwa na mizunguko yangu huwa nachukua ndiga yake kiroho safi.....iko hivi wote hatujaoa , sa kuna siku nimeenda kwake.....ile tumeamka mchiz anarekebisha chai jikon mm nipo nafanya usafi na kupanga nguo.... ile vooop nikakutana na mguu wa mtoto(bastola) kwenye droo ya kabati...kumbuka funguo zilikuwa pale.....nilishtuka sana nikaendelea na yangu, mpaka leo sijawahi kumwambia mchizi ! mchiz ana biashara kadhaa na ni mtafutaji haswa sasa ule mguu wa mtoto sikujua lengo la kuumiliki, na hana mali nyingi kiasi cha kuhofia usalama mpaka kumiliki bastola........ still tuna mingo na kupeana michongo ila niko nae makini sana! unaambiwa kila mafanikio ya mtu kuna jambo nyuma ya pazia !
Duh weweTukiwa wapangaji wote kwenye nyumba flani hv, kuna mpangaji mmoja alikuwa mnoko sana maana ye alikuwa ndio mkusanyaji kodi na kumpelekea bosi. Sasa mpangaji huyu akajisahau akawa ana tutriti kama ye ndio bosi.
Nilikuwa na kibaisikeli changu cha gia cha kuendea kazini, sasa kilikuwa kinalala koridoni na pikipiki zake mbili aina ya triller ilikuwa ni lazima baiskeli niingize saa tano usiku wakati wa kulala na kutoa ilikuwa ye ndio anatoa maana alikuwa anawahi kuamka ili atoe vitu vyake vya duka lazima aanze pikipiki zake na baiskeli yangu
Sasa kuna siku nilisafiri kama siku mbili hv kurudi baiskeli sikuiona kumuuliza akanijibu hiyo baiskeli nilimwachia? Au kuna sehemu tuliandikiana kuwa nimemkabidhi? Nikapiga kimya upelelezi wangu nikagundua aliiuza buku 50, nikamfata dogo aliyeuziwa nikampa 50 yake nikarudi ghetto sikutaka kwenda polisi wala nn, alipoiona ghetto akauliza ehh umeipata nikamjibu si unaiona hapo
Baada ya mwezi niliamka saa 7 usiku na pakiti 4 za chumvi nikafungua tank za pikipiki zake nikamwaga ilipofika asubuhi pikipiki haziwaki hadi nahama pikipiki ziko stoo na kutu la kutosha aliogopa kuniuliza maana najua gereji walimwambia nini kilikumba pikipiki zake
ulibakwa pole sanaHumu ndani mnajichanganya sana,Siri ni ile ambayo inakugusa wewe personally.
Siri haiwezi kumuhusisha third party,kwa sababu kama ikiwa hivyo hiyo inakuwa sio siri tena.
Hakuna siri ya mtu zaidi ya mmoja itakayobaki kuwa siri.
Binafsi siri yangu nitakufa nayo,kwa sababu a can't afford to betray myself.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wengi wanaochoropoa mimba huwa wanapigwa dushelele kwanza.... au baada ya kutoa.Mie kuna rafiki yangu dokta aliniibia siri kuwa nisikubari kumwacha mke wangu aende hospital peke yake bila kwenda naye huwa baadhi ya madokta wanatomba wagonjwa hasa Mdada akiwa na mimba changa au mkeo ana ugonjwa wa kawaida kama homa au mafua Jamaa huwa wanawala sana humo maana akiingia dokta anafunga mlango na kuanza kumpapasa tumbo na matiti kama anampima akiona kalegea anamsukumia mboo fasta kimya kimya na akasema kwa siku anaweza kutomba wanawake hata watano hapo hospital akiamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu naomba ututake radhi wakerewe.Hilo ni kabila ambalo limejizolea umaarufu kwa uwezo wa watu wake wa kukaa au kutunza siri.Tokea enzi zile za mwalimu Wakerewe wmekuwa kundi kubwa wakifanya kazi kubwa ya vitengo maalumu,na hili nimeendlea kuthibitika mpk sasa, ukiingia hiyo idara utakutana nao wengi tu.Mkerebhe ni mpheleNawakumbusha tu,usije mwambia msukuma,mkerewe au mjita siri yako...ni heri ukatangaze kwenye station ya radio!
Mashoga wengi ni huanzishwa hako kamchezo kwa style hizi na ndugu/majirani wanaoaminika.Mimi kuna kaka yangu mmoja mtoto wa mama mkubwa tulikuwa tunalala wote kitanda kimoja, wakati niko mdogo alitaka kunifila, alikuwa akinigusa na mboo yake huku akinidanganya kunipa pesa, Sijawahi kuisema siri hii hadi hapa. Huyu bro namchukia hadi kesho kutwa, sasa ivi ni dereva alipata ajali na kuvunjika mguu sijawahi kumpa pole wala kumtembelea kwake, nikikumbuka alichonifanyia utotoni.
Sent using Jamii Forums mobile app