Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya.
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri.
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya.

Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa.

Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994, na hakuna aliyejua.

Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa hela ya kutosha.

Najua na wee una siri umetunza tudokeze.
Nakumbuka nilivyokuwa napiga nyeto toka form one hadi nikawa nimeoa il a nikawa bado napiga.Sijawahi kumwambia mtu.Ni miaka Mingi sasa imepita
 
Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya.
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri.
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya.

Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa.

Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994, na hakuna aliyejua.

Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa hela ya kutosha.

Najua na wee una siri umetunza tudokeze.
Aseee
 
1. Ndugu yangu mmoja nyumba yao ilikuwa jirani sana. Siku moja nikamuona kupitia dirishani akimbaka mtoto wa jirani nyuma ya nyumba. Kitoto kilikuwa darasa la 3 na yeye akiwa 25 hivi. Sikuwahi kumwambia mtu mpaka leo.

2. Shangazi yangu aliyekuwa anakubalika sana kwa kujiheshimu akikaa Dar. Wakati fulani akaja kijijini. Tulikuwa na mpangaji mmoja mabanda ya nyumba alikuwa kitombi balaa. Basi anti nikamtonya. Hamaad siku moja akabaki peke yake nyumbani, niliporudi kutoka shule cha kwanza ilikuwa kupiga chabo mlangoni kwa mpangaji(mlango wa bati). Nikamkuta anti ndo anavaa chupi ametoka kutiwa. Ama kweli usimuamini mtu.

Ni hayo tu kwa uchache
😂😂😂😂 Kwani anty nae hataki utamu jaman
 
Back
Top Bottom