Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaikumbuka mitaa ya Bachu, Gongoni, Chemuchemu, Mwanza rd ....?
Mkuu hamna cha kujikumbusha hapa Tabora hali mbaya, !! na sisi watu wa Mboka tunaoishi hapo BONGO hamna ushirikiano kabisa! Isevya oyeeeeeeeeeeee!!!
Mkuu hamna cha kujikumbusha hapa Tabora hali mbaya, !! na sisi watu wa Mboka tunaoishi hapo BONGO hamna ushirikiano kabisa! Isevya oyeeeeeeeeeeee!!!
mitaa ya nation n'gambo kariakoo na cheyo tuliosoma boys tunahusika sana
Mwanangu Uhazili Maduu walikua kibao! Mazoezi ulikua unafanya Kweli Mkuu?
Nakumbuka nilivyoingia milambo high school nikapita mitaa ya chem chem kila nyumba nasikia harufu ya pilau ukiangalia nyumba zilivyopinda nilichoka.