Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Dr. Kobelo kazichomoa sana mimba za wanafunzi Tabora.
Alikuwa anasema kumdu mkewe lazima alewe kwanza. Ila inasikitisha mkewe na watoto wote waliishia kuwa machizi sijui ni bangi au Mungu alimuadhibu kwa kuua vichanga maelfu.
Kumdu mkewe lazima alewe kwanza? Mkewe hakua anavutia? Au alikua mzee sana nini?
 
Mwanangu Yani Hiyo ID yako tu, lazima mtu ajue Kua Wewe ni Wa Mboka. Iselamagazi walikua wanapelekwa wizi na wasungusungu kuwatesa kule! Na walikua wakiimba nyimbo ndani yake ya huo wimbo wanataja neno Iselamagazi .

Mwanangu Hiyo mitaa naikumbuka sn! Chemchem, Ng'ambo, Mwanza Road, Isevya na Kiloleni ilikua na vibaka Hiyo mitaa vibaya sn!
😛😛😛 Nope. Mimi siyo mtu wa Mboka. Iselamagazi ni user name tu.
 
Back
Top Bottom