Kumbe tuko wengi wahenga. Mungu mwema. Tabora yetu, mzaliwaAisee, nawe ni wazamani kama mimi. Mwl Shigela ni mama yangu wa ubatizo, she is late lkn.
Nawakumbuka wengi, pamoja na mwl. Fundi.
Mihogo ya mzee Amir bwana ilikuwa something else na ile supu yake, hata waliosoma Iyui na Uhuru watakuwa wanaikumbuka sana. Kuna kipindi nilienda kuitafuta, nikakuta wanae ndio wanapika lkn haikuwa mizuri kama ile.
Unakumbuka poems za Chiboni? "Once l went to fairy land" na "water water, but no any drop to drink"