Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Naikumbuka Mitumba ya Salatoga na Pamba za Tabora Bazar.
Mmiliki wa Saratoga alifariki mwishoni mwa miaka ya 1990. Mungu amrehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naikumbuka Mitumba ya Salatoga na Pamba za Tabora Bazar.
Kumdu mkewe lazima alewe kwanza? Mkewe hakua anavutia? Au alikua mzee sana nini?Dr. Kobelo kazichomoa sana mimba za wanafunzi Tabora.
Alikuwa anasema kumdu mkewe lazima alewe kwanza. Ila inasikitisha mkewe na watoto wote waliishia kuwa machizi sijui ni bangi au Mungu alimuadhibu kwa kuua vichanga maelfu.
😛😛😛 Nope. Mimi siyo mtu wa Mboka. Iselamagazi ni user name tu.Mwanangu Yani Hiyo ID yako tu, lazima mtu ajue Kua Wewe ni Wa Mboka. Iselamagazi walikua wanapelekwa wizi na wasungusungu kuwatesa kule! Na walikua wakiimba nyimbo ndani yake ya huo wimbo wanataja neno Iselamagazi .
Mwanangu Hiyo mitaa naikumbuka sn! Chemchem, Ng'ambo, Mwanza Road, Isevya na Kiloleni ilikua na vibaka Hiyo mitaa vibaya sn!
Iselamagazi=Damu itembeayo(Damu inayochuruzika).😂