Kwa wale waliozaliwa tarehe hizi?

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
NAOMBA NITOE WASIFU WA WALE WANAJF WALIOZALIWA KUANZIA ATAREHE 7,17 NA 27

SIFA ZAO:

A. Ni watu walio na moyo wa ukarimu na wenye ujasiri katika kile wakifanyacho
B. Ni watu wenye kuthubutu kutaka maendeleo ya juu zaidi katika nyanja mbalimbali za maisha
C. Ni watu wenye kupenda wengine na kuwajali sana tena sana kuliko wao wenyewe
D Ni watu waliona hekima na busara nyingi za kuzaliwa nazo na ni watafiti wa mambo
E. Ni watu wenye kuona mbali katika mstakabali wa maisha yao yaani wadadisi wa mambo
F. Ni wenye uwezo mkubwa wa kuongoza na kushika madaraka mbalimbali hususani katika elimu, siasa n.k.
J. Ni watu wacheshi na wachangamfu pindi wawapo katika umati wa watu utawatambua tu kwa muonekano wao.

Kama wewe mwanajf una sifa hizi basi utakuwa mtu wenye kibali machoni pa wengi na kuwa wa juu zaidi kuliko wale waliozaliwa tarehe nyingine. Huu ni mtazamo wangu tu jamani msinishikie bango nimechambua tu hapa
 
nitaitaji tarehe yako ya kuzaliwa hapa...
 
mtenda haki umesema kweli kabisa kwani wewe ni miongoni mwa wale walilozaliwa tarehe hizo nilizotaja hapo juu
bakulutu nimeshakutumia angalia ktk pm yako
 
hakuna utani wowote its true kabisa hebu usichafue jukwaa wewe zakheeed
 
in exception kwa waliozaliwa mwezi wa January maana hao ni pasua kichwa! watu wengi waliozaliwa January wana roho za tofauti sana
 
Uko sahihi mimi japo sijafanikiwa kihivyo najaribu kumreflect Mandela. Mimi ni 17/7
 
Ni kweli usemacho mimi Jina langu linaanzia na F na nipo kwenye nyanja za siasa.
 
Kweli kabisa I know 27 mmoja hivi mkarim sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…