Niliwahi ona kuna jamaa hua anatumia Ebay kununua,kwaiyo akihitaji mfano kama simu inakuwa na maelezo yote mfano bei yake kama imejumuisha na usafiri na kuna nyingine bei ya simu na usafiri ni tofauti kwaiyo hapo ni wewe tu na maamuzi yakoHabari zenu wana jukwaa pendwa
napenda kufahamu , mfano nataka ninunue simu online kupitia tovuti zetu pendwa
hasa JUMIA
kwa wale wazoefu ,mpaka mzigo ukufikie mnunuaji hulipia gharama zote pamoja na kodi & usafiri hasa mzigo wake
unapofika?
nipeni uzoefu
Kiasi kilichoandikwa JUMIA ndio kiasi unatakiwa kulipia, sio nje ya hapo.mfano nataka ninunue simu online kupitia tovuti zetu pendwa
hasa JUMIA
kwa wale wazoefu ,mpaka mzigo ukufikie mnunuaji hulipia gharama zote pamoja na kodi & usafiri hasa mzigo wake
unapofika?
Iwapo utanunua nje ya nchi, ndio kuna baadhi ya bidhaa unatakiwa kulipia kodi.pamoja na kodi & usafiri hasa mzigo wake
unapofika?
Kiasi kilichoandikwa JUMIA ndio kiasi unatakiwa kulipia, sio nje ya hapo.
Iwapo utanunua nje ya nchi, ndio kuna baadhi ya bidhaa unatakiwa kulipia kodi.
Waweza pitia hii thread: www.bit.ly/101buy4me
asante kwa maelezo yako mazuriKama ni JUMIA ingia tu jumia agiza watakuletea mpaka ulipo au kuifata inategemea na vendor nadhani but kama ni Ebay kuna ghrarma za kusafirisha ila kule kuna product zinazouzwa ndani ya USA au mara nyngne ni USA, CANADA, UK huwa zinakuwa na bei ndogo kweli kweli kuliko za International so kwa wazoefu wa kitambo kama sie huwa kuna njia tunatumiaga huko tunanunua kama USA resident then tunaleta DUNIA ya 3 huku. Pia kwa njia hzo tunafanya kitu kinaitwa Repackaging, consolidation yaan tunaunganisha products nying tofauti tofauti na kuweka kwenye box 1 kupunguza shipping cost au ata receipt huwa tunaipotezea mzigo kama n i mdog unafika kama zawad il kumpunguza kasi KUBWA LA MAADUI. But ukumbue jia hz kama sio mtaalam sana wa maswala haya inabd kidogo unyoshe mkono ili wengine nao walishe familia nyumbani.
But all n all I wsh you all the best!
Ndugu de98 Uzi wa rejea huu hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...zi-kwenye-mtandao-ebay-amazon-bestbuy.714290/so kwa wazoefu wa kitambo kama sie huwa kuna njia tunatumiaga huko tunanunua kama USA resident then tunaleta DUNIA ya 3 huku. Pia kwa njia hzo tunafanya kitu kinaitwa Repackaging, consolidation yaan tunaunganisha products nying tofauti tofauti na kuweka kwenye box 1 kupunguza shipping cost au ata receipt huwa tunaipotezea mzigo kama n i mdog unafika kama zawad il kumpunguza kasi KUBWA LA MAADUI.
Ndugu de98 Uzi wa rejea huu hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...zi-kwenye-mtandao-ebay-amazon-bestbuy.714290/