Kwa wale wanaoijua baariz

Kwa wale wanaoijua baariz

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Posts
695
Reaction score
466
Katika pita pita yangu kwenye dawa zinazotibu UKIMWI nimekutana na hii dawa asilia inayoitwa Baariz inayotengenezwa nchini Pakistani. Wanaoipigia debe wanadai kuwa inaweza kutibu na kuponyesha UKIMWI. Lakini ukiangalia kwenye website mbali mbali wengi wa wataalam wanaikandia vibaya sana. Ndani ya website ya wenye dawa inaonyesha kuwa wana wateja humu Bongo. Naomba wenye ujuzi na ufahamu wa hii dawa wafunguke tuweze kushauri wengine walio na kiu ya kuifahamu au kuitumia.
Kwa wale wanaopenda kuwekewa picha wanaweza ku google Baariz.
 
bob funguka kama unao, actually dawa halisi haijapatkana. kuna njia nyng xa kuongeza cd4 zilizoshuka..utapoteza pesa.
 
Back
Top Bottom