Nimechukua yangu pale SAUT leo na inshu nilicheki kwenye airtel yatosha kuripoti tarehe 16/9 ila hawa jamaa wamefanya mapema mno.
vipo ambavyo vimetoa majina kupitia website zao mfano cbe na st Joseph ila vyuo vyote vimeishatumiwa majina na tcu hivyo ukienda watakuhakiki kisha utapewa admisiion letter.
Me nimeenda ifm leo wamenipa join instruction yangu na 2nareport kuanzia tar 15 oct
jaman vipi kwa sisi tulioko mbali na Dar utaratibu gani unatumika?