Kwa wale wanaojua Selection zao

Kwa wale wanaojua Selection zao

wamogori

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
888
Reaction score
339
Ikiwa ulifanikiwa kujua umechaguliwa wapi kupitia Airtel unaweza kwenda chuo husika kwa ajili ya kuchukua admission letter, joinning instructions na mambo mengine kwani tayari majina yameishatumwa kwenye vyuo husika. Lakini kuna baadhi ya vyuo bado havijapata majina ya second round. Kuna dogo leo amechukua admission leter na kuripoti ni 15 Oct 2013 kwa chuo chake
 
Ebu nijuze ni vyuo gani ambavyo washa-relese majina.
 
naomba msaada mbona udom website yao haifunguki na kuna dogo langu limnanisumbua liliona jina lake nkwa airtell sasa aende huko au
 
Nimechukua yangu pale SAUT leo na inshu nilicheki kwenye airtel yatosha kuripoti tarehe 16/9 ila hawa jamaa wamefanya mapema mno.
 
Mbona official announcment bdo
..

Kama ulibahatika kujua kupitia airtel huna haja ya kusubili tangazo la kiofisi wewe nenda ktk chuo ulichopangiwa majina yalishafika vyuoni, watakuhakiki kisha utapewa admission letter.
 
Nimechukua yangu pale SAUT leo na inshu nilicheki kwenye airtel yatosha kuripoti tarehe 16/9 ila hawa jamaa wamefanya mapema mno.

molembe inamaana ukifika tu wanakupa au wanaangalia kama kweli umechaguliwa ndo wakupe?
 
naomba msaada mbona udom website yao haifunguki na kuna dogo langu limnanisumbua liliona jina lake nkwa airtell sasa aende huko au

kama yuko mbali ni tatizo itabidi usubirie hadi chuo kitakapoweka utaratibu kwenye website yao.
 
molembe inamaana ukifika tu wanakupa au wanaangalia kama kweli umechaguliwa ndo wakupe?

lazima wakuhakikishe kama upo kwenye listi ya majina waliyopewa na tcu, kama haupo hawakupi.
 
Ebu nijuze ni vyuo gani ambavyo washa-relese majina.

vipo ambavyo vimetoa majina kupitia website zao mfano cbe na st Joseph ila vyuo vyote vimeishatumiwa majina na tcu hivyo ukienda watakuhakiki kisha utapewa admisiion letter.
 
vipo ambavyo vimetoa majina kupitia website zao mfano cbe na st Joseph ila vyuo vyote vimeishatumiwa majina na tcu hivyo ukienda watakuhakiki kisha utapewa admisiion letter.

Me nimeenda ifm leo wamenipa join instruction yangu na 2nareport kuanzia tar 15 oct
 
jaman vipi kwa sisi tulioko mbali na Dar utaratibu gani unatumika?

Subirini hadi tarehe 25 mwez huu wataiweka kwenye website ya chuo, utadownload, then ukishaijaza utakuja nayo report day..
 
Wewe wa udom kuwa na subra website haifunguk kwasababu wapo kwnye mchakato wa kuweka matokeo hata hvo kuripot itakuwa wa kum kwny tar 10 na hyo admision leter huwa unaikuta kwny website ukienda chuo kufata wanazngua so kuwa na subra mambo yatakuwa saf mda c mrfu!
 
Daah ngoja nijipange nikachukue joining yangu aru(uclas)
 
Back
Top Bottom