Kwa wale wanaongoja boom

Kwa wale wanaongoja boom

Acha kupoteza watu hayo ni mambo yako binafsi ... Mkuu endelea kulala, maana hii ndoto uliyoota leo, nakuamkia Jamii forums nakuanzia kupost unavyovijua wewe
...

mkuu unalazmisha ukweli uwe uongo kisa ukimbie kuchunga ng'ombe kwenu? tatzo lenu madogo mnaona kila mtu first year humu ngoja mtajionea
 
Ina maana shule za Kata hazifundishi hata kuandika Kiswahili vizuri? Kazi tunayo! Eti uwakika, avijatangaza kweli??

aliyekwambia nasoma au nilisoma shule ya kata nani.? Acha kujishaua mkuu, hiyo shule yako nzuri imekusaidia nini au umefundishwa kupinga watu humu,na kuangalia nani kakosea kuandika
 
aliyekwambia nasoma au nilisoma shule ya kata nani.? Acha kujishaua mkuu, hiyo shule yako nzuri imekusaidia nini au umefundishwa kupinga watu humu,na kuangalia nani kakosea kuandika

kujishaua co neno la.kiume mkuu
 
aliyekwambia nasoma au nilisoma shule ya kata nani.? Acha kujishaua mkuu, hiyo shule yako nzuri imekusaidia nini au umefundishwa kupinga watu humu,na kuangalia nani kakosea kuandika
Acha kupiga mayowe wewe!!

Uliandika vizuri sasa hivyo? Acha hizo mwanangu, badilika tu!!!
 
Boom is there xoon after registration that ur a student in university. Ndugu usitegemee kupokea boom ukiwa kwenu lazima tcu wapeleke majina ya wanafunzi ambao tayari ni wanachuo ndipo suala la mkopo liangiliwe kama umeomba!! Na mkataba wa mkopo upo chini ya wewe na chuo na sio wewe na helsb. Helsb wao watapambana na tcu na tcu itapambana vyuo na vyuo vitapambana na wewe.
Hii wote wa MWUCE na waliohudhuria orientation corse kwa 1year hawana hogu ya bumu sisi lecture zinaanza j3 mwanzo mwisho!!!!!
 
Back
Top Bottom