Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

Ninavyochukia kelele. Nadhani hata redio kwenye gari haijawahi kuwashwa.
 
Unapatikana wapi?
 
Zipo nying sana mkuu japo bei imesimama sana,mfano kuna hii kenwood,inauwezo mkubwa wa out put,kioo ni full hd na ni inbuilt equilizer,inaplay hdmi pia,pia video za mp4 inacheza,unadownload youtube unaplay bila video kuziconvert
Inakwenda kwa bei gani?
 
Huu uzi haujakamilika.
Nilitamani ungetufahamisha ukitaka mziki mzito vifaa vinavyotumika na mafundi wazuri wako wapi nk
 
Huu uzi haujakamilika.
Nilitamani ungetufahamisha ukitaka mziki mzito vifaa vinavyotumika na mafundi wazuri wako wapi nk
Mkuu kwa comment hii siyo tangazo wala simpigii debe huyu Kijana wa kufunga funga Alams, city cover, Rim kali, system sound

Huyu kijana anaitwa DICKSON SOUND/SOUND ENGINEERING opposite na Bank ya DCB magomeni usalama.

naona amewafungia madj wakubwa wa East Africa radio, profesa jay, shish baby, watumishi wakubwa wa serikalini wengine wa pale pale wilayani/kinondoni... Chege, dully n.k
 
Huyo jamaa promo nyingi thatz why, ukitaka kufungiwa muziki nenda Sinza Mapambano utawakuta vijana pale, zamani yapata kama miaka mitano nyuma alikuwa Muhindi mmoja hivi mitaa ya kisutu anajulikana kama Audio sensations alikuwa anafunga muziki kwenye gari hadi wa milioni tano, akichukua gari anaweza akakaa nayo siku tatu anafunga muziki na gari ikipita kweli unajua kuna mziki wa maana sio makelele
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah mkuu umeniongezea mitaa ya siku za usoni za kuja kufunga sound yangu.
 
Wewe unapatikana wapi?
 
Zipo nying sana mkuu japo bei imesimama sana,mfano kuna hii kenwood,inauwezo mkubwa wa out put,kioo ni full hd na ni inbuilt equilizer,inaplay hdmi pia,pia video za mp4 inacheza,unadownload youtube unaplay bila video kuziconvert
Bei Tafadhali!!
 
Nimekutana ha huyu jamaa arusha ni mzuri mno kufunga na kutune muziki kwenye magari. Kanifungia mziki swaafi. Yeye ni mtaalam wa pioneer. Yupo sakina kibanda mkaa wanamwita Rasta au mkenya.
 
Anaitwa Alex wa eastsidesounds
 
Mziki wa bei rahisi ambao unakua na option ya USB shillingi ngapi? Napendelea mziki wa kawaida sio ule wa sauti ya juu.
Gari ni Suzuki Swift na Mitsubishi Double Cabin.
Naomba bei kwa Arusha tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…