Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

Aisee hapo tutaenda sawa sasa, i love loud and hard hitting sound! Xplod ni shida mkuu
nakuambia ikitokea waya umefyatuka hata kama niko porini lazima nishuke nirekebishe.
Tatizo ninalo kutana nalo waomba lift wananiibia sana flash disck zangu
 
nakuambia ikitokea waya umefyatuka hata kama niko porini lazima nishuke nirekebishe.
Tatizo ninalo kutana nalo waomba lift wananiibia sana flash disck zangu
haahha ngoma gani unaskiliza humo ndani
 
haahha ngoma gani unaskiliza humo ndani
Ngoma mchanganyiko. nina selection zaidi ya ngoma 300.
Kuna ngoma moja inaitwa criminal ya Natti Natasha, hiyo ni moja ya top 50 zangu.

za bongo nina selection chache tu. ngoja nianze na oldies.

Kwenye oldies hizi ni muhimu:
1. That dont impress me much - Shania Twain
2. Ka-ching - Shania
3. A thousand miles - Vannesa carlton
4. Drove all night - Celine dion
5. nitaendelea......
 
Aisee we ni mtu wa Country music zaidi kumbe
 
Kwenye kiberiti changu (toyota duet) nimefunga kichwa cha sony, amp mbili za sony moja ya watts 1400(original watts rms) ambayo ina channel moja (mono) hiyo ni kwa ajili ya subs mbili nilizofunga nyuma za watts 1400 za sony, amps moja ya watts 800 kwa ajili ya mid, tweeter na pre amp na tube ya power controler, mziki naousikia ni shida na balaa
 
I love music, sio mziki wa kusikiliza kwenye headphones... hapana. Mziki wa kusikia kutoka kwenye speakers, sauti si kubwa sanaa ila ipenye hadi kwenye maini.

Kuna shida napata, kila nikiwasha gari sauti ya redio inajiwasha kubwa sana 25 na flash nnanocheza kila nikiwasha gari inaanza nyimbo ya kwanza na haiendelei ilipoishia. Shida ni nini?

Sijafunga hayo mawoofer wala xplicit bali redio na speaker zilizokuja na gari, hazichuji mziki saana ila nahisi unanifaa.

Niko muoga sana na kumoa mtu gari achokonoe kuunga mziki halafu baadae nakuja kuona kuna shida ya umeme kwenye gari imeanza, huwa sipendi gari ichokonolewe chokonolewe na mafundi.

K' Matata.
 
I love music, sio mziki wa kusikiliza kwenye headphones... hapana. Mziki wa kusikia kutoka kwenye speakers, sauti si kubwa sanaa ila ipenye hadi kwenye maini. Ukipata fundi mtaalamu anaweza kukufungia mziki alafu akaubalance kiasi kwamba ukipiga alieko nje ya gari anasikia kawaida tu ila walioko ndani maini yanakuwa yanatetemeka.

Kuna shida napata, kila nikiwasha gari sauti ya redio inajiwasha kubwa sana 25 na flash nnanocheza kila nikiwasha gari inaanza nyimbo ya kwanza na haiendelei ilipoishia. Shida ni nini? Hiyo itakuwa ni setting za redio.

Sijafunga hayo mawoofer wala xplicit bali redio na speaker zilizokuja na gari, hazichuji mziki saana ila nahisi unanifaa.

Niko muoga sana na kumoa mtu gari achokonoe kuunga mziki halafu baadae nakuja kuona kuna shida ya umeme kwenye gari imeanza, huwa sipendi gari ichokonolewe chokonolewe na mafundi. Hapo ndio huwa kuna tabu kama utampa fundi wa kuunga unga. Yangu kuna covers nyingi wamevunja wakati wanaweka wires. nimeshabadilisha woofer na redio mara mbili. fundi wa pili alionekana kuifahamu kazi yake zaidi ya fundi wa kwanza.

K' Matata.
 
I love music, sio mziki wa kusikiliza kwenye headphones... hapana. Mziki wa kusikia kutoka kwenye speakers, sauti si kubwa sanaa ila ipenye hadi kwenye maini.

Kuna shida napata, kila nikiwasha gari sauti ya redio inajiwasha kubwa sana 25 na flash nnanocheza kila nikiwasha gari inaanza nyimbo ya kwanza na haiendelei ilipoishia. Shida ni nini?

Sijafunga hayo mawoofer wala xplicit bali redio na speaker zilizokuja na gari, hazichuji mziki saana ila nahisi unanifaa.

Niko muoga sana na kumoa mtu gari achokonoe kuunga mziki halafu baadae nakuja kuona kuna shida ya umeme kwenye gari imeanza, huwa sipendi gari ichokonolewe chokonolewe na mafundi.

K' Matata.

kuna watu wako kwa hiyo industry mda mrefu wanajua ni nn wanafanya wanajua the right cable to use sehemu pa kuweka fuse nk
 
inawezekana lakni nishakutana na Suzuki escudo toleo la kwanza imechoka ila huo mziki akipita unasikia kama unaimbia tumboni
Nilitaka kuzungumzia hizo waya maana ukizichanganya tu ndio hayo matatizo yanajitokeza. ila sasa mwenye uzi aliposema kuwa redio na spika vilikuja na gari. hapo nikakwama kidogo.
 
Niko kote kote.

hebu tupia list yako japo kidogo hapa
Mi ni mtu wa old school hasa Hiphop na RnBs za wayback 1990-2004 ndio naishi sana katika mziki wa humo,
1.2 Pac- California love
2.Notorious - Big poppa
3.Luniz - 5 On it
4.Lost Boyz - Crazy World
5.Mc Lyte - Cold Rock the party
6.Naughty by Nature - Craziest (Crazy C Remix)
7.Mr Chicks - Renee
8.Snoop Dogg - Whats my name
9.Dr.Dre - Keep their heads ringing
10.Craig Mack - Flava in ya ear

Hayo mawe ambayo nikiya blow mtaa unatambua uongozi hahahah!!!
 
Back
Top Bottom