Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

Mi ni mtu wa old school hasa Hiphop na RnBs za wayback 1990-2004 ndio naishi sana katika mziki wa humo,
1.2 Pac- California love
2.Notorious - Big poppa
3.Luniz - 5 On it
4.Lost Boyz - Crazy World
5.Mc Lyte - Cold Rock the party
6.Naughty by Nature - Craziest (Crazy C Remix)
7.Mr Chicks - Renee
8.Snoop Dogg - Whats my name
9.Dr.Dre - Keep their heads ringing
10.Craig Mack - Flava in ya ear

Hayo mawe ambayo nikiya blow mtaa unatambua uongozi hahahah!!!
Tuko pamoja mkuu ngoja nikupe list yangu
1.2 Pac- Trading war stories
2. Non chalant-5 oclock
3. Mob deep-hell on earth
4.Notorius BIG-missing u
5.Snoop dogg and dr dre- nuttin but g thang
6.Snoop dogg-dog world
7.Snoop dog, Nate dogg-Lay low
8.x zibit-paparazi
 
Tuko pamoja mkuu ngoja nikupe list yangu
1.2 Pac- Trading war stories
2. Non chalant-5 oclock
3. Mob deep-hell on earth
4.Notorius BIG-missing u
5.Snoop dogg and dr dre- nuttin but g thang
6.Snoop dogg-dog world
7.Snoop dog, Nate dogg-Lay low
8.x zibit-paparazi

Hahahah we tukikaa mahala pamoja tutaelewana mzee, my love for G Funk HipHop!

1.2 pac ft Snoop - 2 of Amerikaz most wanted (Gangsta Party)
2.Westside Connection - Do you like Criminals
3.Notorious Big - Juicy
4.Eazy E - Real Muthaphuckin Geez
5.Das EFx - Real HipHop
6.ICe Cube - Natural Born Killaz
7.Snoop Dogg - Aint No Fun
8. 2 Pac - You cant see me
9.Eminem - Bitch Please
10.Dr.Dre - Whats the Difference
11. Wc - The streets
12.Eastsidaz ft Snoop Dogg - I lov it
 
Mi ni mtu wa old school hasa Hiphop na RnBs za wayback 1990-2004 ndio naishi sana katika mziki wa humo,
1.2 Pac- California love
2.Notorious - Big poppa
3.Luniz - 5 On it
4.Lost Boyz - Crazy World
5.Mc Lyte - Cold Rock the party
6.Naughty by Nature - Craziest (Crazy C Remix)
7.Mr Chicks - Renee
8.Snoop Dogg - Whats my name
9.Dr.Dre - Keep their heads ringing
10.Craig Mack - Flava in ya ear

Hayo mawe ambayo nikiya blow mtaa unatambua uongozi hahahah!!!
Hahahaha... kuna siku tulienda tuliamua kupopoka kupita kiasi sasa tukafika sehemu wakazima mziki kuwa mda umeenda, kilichofuta tulifungua milango ya gari tukagonga mziki. ilibidi wenye bar watupigie magoti kutubembeleza. mziki mkubwa ni noma unaweza fanyia party mtaani na watu waka enjoy.
 
mimi sijui ujana au uzee,hata sijielewi nipo kundi gani maana hakuna mziki naopenda iwe wa hapa au wa nje sina mwanamuziki hata mmoja nampenda duniani,hebu niambie wajuzi na mimi ntakuwa na tatizo gani?
We dishi limeyumba mkuu...nenda mirembe wakakusaidie kabla haujaanza vituko vingine mkuu
 
I love music, sio mziki wa kusikiliza kwenye headphones... hapana. Mziki wa kusikia kutoka kwenye speakers, sauti si kubwa sanaa ila ipenye hadi kwenye maini.

Kuna shida napata, kila nikiwasha gari sauti ya redio inajiwasha kubwa sana 25 na flash nnanocheza kila nikiwasha gari inaanza nyimbo ya kwanza na haiendelei ilipoishia. Shida ni nini?

Sijafunga hayo mawoofer wala xplicit bali redio na speaker zilizokuja na gari, hazichuji mziki saana ila nahisi unanifaa.

Niko muoga sana na kumoa mtu gari achokonoe kuunga mziki halafu baadae nakuja kuona kuna shida ya umeme kwenye gari imeanza, huwa sipendi gari ichokonolewe chokonolewe na mafundi.

K' Matata.
Pole dada,tatizo ni redio yako itakua sio original or ni old model zile za kizamani,radio orginal kama ulikua unasikliza music then ukazuma gari ukija kuwasha ilipoishia ndipo inapoanzia.
 
Hahahaha... kuna siku tulienda tuliamua kupopoka kupita kiasi sasa tukafika sehemu wakazima mziki kuwa mda umeenda, kilichofuta tulifungua milango ya gari tukagonga mziki. ilibidi wenye bar watupigie magoti kutubembeleza. mziki mkubwa ni noma unaweza fanyia party mtaani na watu waka enjoy.
Hahaha now thats what im talking about! Hio ndio miziki ya kufunga kwenye ndinga sasa! Nakumbuka early 2000s Mitaa ya Upanga Kuna madogo flani wa kishua walikuwa na Toyota Surf imefungwa mziki kama wa Fiesta ule! Ikawa inagongwa ngoma moja ya Fat Joe aisee ni matatizo, nadhani ilikuwa whats luv ile aisee niko flow ya tatu ila kishindo kilikuwa cha maana Still!
 
Pioneer nao ni shida spika za zina tripple dinamic yaani zile sumaku za nyuma zimefungwa tatu kwa pamoja kishindo chake kama ukipata amp yenye nguvu ni balaa
Hii ndio sijaizoea ila Mkito wa BOSCHMAN nautambua kwa herufi kubwa!
 
Bei ya chini,unaweza ukawa hata na laki1 ukafunga mzigi mzuri tu,ila unatumia zile woofer ambazo zina amplifier ndan,unaweza kupata hata kwa laki moja na ikapiga mziki mzuri tu.
subwoofer gani nzuri iuzwe laki moja unasema zile za kichina kina allipu na alliang vijana wanafunga kwa bajaji siku hizi
 
Wakubwa, hivi radio zinazokuja na gari ambazo haziaomi frequency za hapa home soln ni ipi ili ipige radio? Msaada pse.
 
Back
Top Bottom