I love music, sio mziki wa kusikiliza kwenye headphones... hapana. Mziki wa kusikia kutoka kwenye speakers, sauti si kubwa sanaa ila ipenye hadi kwenye maini.
Kuna shida napata, kila nikiwasha gari sauti ya redio inajiwasha kubwa sana 25 na flash nnanocheza kila nikiwasha gari inaanza nyimbo ya kwanza na haiendelei ilipoishia. Shida ni nini?
Sijafunga hayo mawoofer wala xplicit bali redio na speaker zilizokuja na gari, hazichuji mziki saana ila nahisi unanifaa.
Niko muoga sana na kumoa mtu gari achokonoe kuunga mziki halafu baadae nakuja kuona kuna shida ya umeme kwenye gari imeanza, huwa sipendi gari ichokonolewe chokonolewe na mafundi.
K' Matata.