MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kwenye Africa Games 2019, ambazo zinaisha wiki hii kule Morocco. Kenya waliwakilishwa na wanamichezo 290, viongozi 17. Tz wanamichezo 6, viongozi 21. [emoji1]
Umemaliza kwishaaa!! Akikujibu atakua na kichaa.
Ndio maana huwa hawashindi chochote.