Kwa wale wanaosoma daresalaam maritine institute na institute of procurement and supply

Kwa wale wanaosoma daresalaam maritine institute na institute of procurement and supply

tibmanzenjj

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
18
Reaction score
4
vipi hali wana jukwaa , nilikuwa na hitaji na wanafunzi wanaosoma katika hivyo vyuo nilivyovitaja hapo juu ,ningependa wanijuze kuhusiana na kozi ya CLEARING AND FOWARDING ikiwa bado inasomeshwa hapo vyuoni kwao
 
Back
Top Bottom