Ni rahisi hilo swali, hapo chakuelewa ni kwamba morden education ndo hii ambayo tuniita formal system. Hiyo formal system inalenga kumpa mwanafunzi maarifa abstract kutoka kwenye vitabu na maandishi badala ya kumfundisha kwa njia ya kuiboresha tabia na mwenendo. Ukiweza kufikiria katika mstari huu utapata sehemu ya kuanzia.