kwa wale wanaosoma masomo ya elimu naombeni mnisaidie

kwa wale wanaosoma masomo ya elimu naombeni mnisaidie

iron.heart

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
59
Reaction score
15
Habari za jioni wanajamii forum, naombeni mnisaidie hili swali langu.

Modern education overemphasizes on cognitive learning theory over behavioural learning theory. discuss?
 
Wote tungekuwa kama wewe,tusingefika hapa tulipo! ACHA UVIVU,umeshndwa ku-google? swali la group unataka tukusolvie sisi?
 
hahahaha!describe the contributions of cognitive and behavioural learning theories in education,nadhani umeelewa sasa?
 
Wote tungekuwa kama wewe,tusingefika hapa tulipo! ACHA UVIVU,umeshndwa ku-google? swali la group unataka tukusolvie sisi?

elewa uelewa wa binadam haaufanani, unachokiona ww rahic kwa mwnzio kigumu, anyway, shukran kwa msaada wako.
 
Ni rahisi hilo swali, hapo chakuelewa ni kwamba morden education ndo hii ambayo tuniita formal system. Hiyo formal system inalenga kumpa mwanafunzi maarifa abstract kutoka kwenye vitabu na maandishi badala ya kumfundisha kwa njia ya kuiboresha tabia na mwenendo. Ukiweza kufikiria katika mstari huu utapata sehemu ya kuanzia.
 
Back
Top Bottom