Kwa wale wanaotambishiana kuhusu ubora wa vyuo

River Mbane

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
27
Reaction score
4
Mimi naona haina tija yoyote kwa sisi wasomi wazima kuendelea kutambishiana katika maswala ya vyuo,ukizingatia serikali yetu yenyewe haiko vizuri katika swala la elimu sasa ninyi mnaotambishiana vyuo mnadhani vyuo vyenu viko salama?

Kitendo tu cha mtu aliyesoma/anayesoma chuo kikuu kuanza kubishania chuo chake kuwa ni bora zaidi ya vingine mimi naona ni mojawapo ya tatizo analolidhihilisha katika elimu yake aliyoipata/anayoipata.Au ndo tuseme elimu yetu inatufundisha tuwe hivyo?

Sitaki kuamini hivyo kwani naamini vilaza wapo kila mahali na ndo hao badala ya kufikiria nitaitumiaje/niitumieje taaluma niliyoipata/ninayoipata wao wanafanya upuuzi tu.

Me nawaomba mbadilike,

Kwa ambao nitakuwa nimewakera mtanisamehe cuz ni maoni yangu tu baada ya kuona watu wanaendelea kubishania vyuo ukizingatia vyuo vyetu hata kwenye Top 100 kwa ubora duniani havimo.
 
Waambie ndugu coz mi nshajaribu ila hawaelewi.
 
Tunapoteza muda sana kujadili v2 ambavyo hata havitusaidii.Tunaharibu title la hili jukwaa
 
Big up mkuu..
Mtu akisoma ile thread wanayojibishana kama anatoka vyuo /colleges anaeza kata tamaa.Wameniudh sana ile Thread Mods waitoe tu haina Maana kwa watu wazma wengne na familia zao zimewashnda wanajua tu kupambanisha vyuo..
bloody fo.ols nimekerekaaaaaa aggrgrgrgragr!!!!!!
 
Oxford university ni sawa na st john!?ahhhhhh ubora wavyuo upo pale pale .!hamuwezi kimbia hili kaka!huwezi fananisha coet name MIT
 
Mzeiya unafaa kuwa rais wa nchi hii kwa falsafa yako iliyotukuka. Msomi aliyeiva anaonekana kwa matendo yake ndani ya jamii anayoishi. Big up Mkulu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…