River Mbane
Member
- Jul 12, 2013
- 27
- 4
Mimi naona haina tija yoyote kwa sisi wasomi wazima kuendelea kutambishiana katika maswala ya vyuo,ukizingatia serikali yetu yenyewe haiko vizuri katika swala la elimu sasa ninyi mnaotambishiana vyuo mnadhani vyuo vyenu viko salama?
Kitendo tu cha mtu aliyesoma/anayesoma chuo kikuu kuanza kubishania chuo chake kuwa ni bora zaidi ya vingine mimi naona ni mojawapo ya tatizo analolidhihilisha katika elimu yake aliyoipata/anayoipata.Au ndo tuseme elimu yetu inatufundisha tuwe hivyo?
Sitaki kuamini hivyo kwani naamini vilaza wapo kila mahali na ndo hao badala ya kufikiria nitaitumiaje/niitumieje taaluma niliyoipata/ninayoipata wao wanafanya upuuzi tu.
Me nawaomba mbadilike,
Kwa ambao nitakuwa nimewakera mtanisamehe cuz ni maoni yangu tu baada ya kuona watu wanaendelea kubishania vyuo ukizingatia vyuo vyetu hata kwenye Top 100 kwa ubora duniani havimo.