Kwa wale wanaotarajia kufanya mitihani ya psptb stage three kituo cha saut mwanza.

Kwa wale wanaotarajia kufanya mitihani ya psptb stage three kituo cha saut mwanza.

MUJINI CHULE

Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Wadau mimi nategemea kufanya mitihani hiyo mwezi may mwaka huu hivyo basi natafuta watu waku-discuss nao.
Kama upo Mwanza mjini tuwasiliane kwa kupitia link hii tuone tunayaanzaje masomo mapema, maana mitihan ya board
inaonekana kuwa tishio usipokuwa umejiandaa vizuri na mapema. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom