Wadau mimi nategemea kufanya mitihani hiyo mwezi may mwaka huu hivyo basi natafuta watu waku-discuss nao.
Kama upo Mwanza mjini tuwasiliane kwa kupitia link hii tuone tunayaanzaje masomo mapema, maana mitihan ya board
inaonekana kuwa tishio usipokuwa umejiandaa vizuri na mapema. Nawasilisha