kwa wale wanapenda dagaa je wajua jinsi ya kuzipika? jifunze kupiti hapa

kwa wale wanapenda dagaa je wajua jinsi ya kuzipika? jifunze kupiti hapa

Asante sana MziziMkavu hii inaenda sana kwa ugali ,ukiweka na pilipili mbuzi looh mambo mswanu kabisa
 
Last edited by a moderator:
Asante sana MziziMkavu hii inaenda sana kwa ugali ,ukiweka na pilipili mbuzi looh mambo mswanu kabisa

Aisee usifanye utani na kipilipili kwenye dagaa, kinanogeshaje

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Sipendi dagaa. Demu wangu anasema mboga ya kimasikini.
 
Chakula ninachoweza kula week nzima bila kukinai. Ijumaa wananihusu dagaa
 
Back
Top Bottom