Kwa wale wanaume wenzangu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
wazee wa kususa susa...kitu kidogo unanunia demu
wiki ili ubembelezwe wewe...Yaani unatafuta
kasababu kaduuchuuu ili unune....wengine eti
wananuna kisa wamemuita demu waende out demu
akasema hawezi ameitwa na mamake amsaidie kazi...Jamaa ananuna..eti umenidharau unaona
mamako wa thamani kuliko mie mpenzi wako...
Akilimatope?!
We kaboifurendi tu mmekutana ukubwani
wote mna meno 32 ndo uwe na thamani kuliko
mamake aliyembeba miezi 9??? Kuna Wanaume nahisi
Metarmophosis process yao haikukamilika.. ..Ipo siku mtakumbana na Mademu wana damu ya Hitler...wana
roho ngumuu..wana misimamo ya mrengo wa
kushoto ukimwaga ugali wanamwaga mboga...Ukijinunisha Wiki unakuta ushaachwa unabakia
unajichekesha na Bebi am sore nyiiingiii...Usimpe Chizi
adhabu ya kula jalalani maana kwake jalala ndo Kempinski..

Naruhusu kupigwa Mawe
 
MAISHA ya DADA zetu FACEBOOK na INSTAGRAM
Wiki ya kwanza
Status:"Location flani amazing"
"Having fun"
"I love my life"
"sijali mnayosema nafanya nachotaka"
BAADA YA MIEZI MIWILI
STATUS:"Binadamu wengi ni wasaliti"
"trust nobody"
"Na hili nalo litapita"
BAADA YA MIEZI SITA
Status:"Yesu wewe ndio rafiki wa kweli"
"Bwana ndiye mchungaji wangu"
BAADA YA MIEZI TISA NA KIDOGO
STATUS: "Nakupenda mwanangu
 
Waambie kabisa Sie sio wa mchezo mchezo
 
Mecheka thaaaana
 
Hahahahaha STUNTER umeua siku hizi hadi hadi wanaume unatupa makavu
 
Hahahahaha hahahaha hahaha Kwa comment hiii ntalala vizuri leo
 
Ukweli mchungu ila inabidi tuukubali tu.

Ukisusa wenzio wala.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…