STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
wazee wa kususa susa...kitu kidogo unanunia demu
wiki ili ubembelezwe wewe...Yaani unatafuta
kasababu kaduuchuuu ili unune....wengine eti
wananuna kisa wamemuita demu waende out demu
akasema hawezi ameitwa na mamake amsaidie kazi...Jamaa ananuna..eti umenidharau unaona
mamako wa thamani kuliko mie mpenzi wako...
Akilimatope?!
We kaboifurendi tu mmekutana ukubwani
wote mna meno 32 ndo uwe na thamani kuliko
mamake aliyembeba miezi 9??? Kuna Wanaume nahisi
Metarmophosis process yao haikukamilika.. ..Ipo siku mtakumbana na Mademu wana damu ya Hitler...wana
roho ngumuu..wana misimamo ya mrengo wa
kushoto ukimwaga ugali wanamwaga mboga...Ukijinunisha Wiki unakuta ushaachwa unabakia
unajichekesha na Bebi am sore nyiiingiii...Usimpe Chizi
adhabu ya kula jalalani maana kwake jalala ndo Kempinski..
Naruhusu kupigwa Mawe