Kwa wale wapenda kihispaniola tubonge kidogo

Kwa wale wapenda kihispaniola tubonge kidogo

Kichwa ni ajabu. Hakuna lugha ya Kihispaniola.
Maana "Hispaniola" (soma zaidi hapa) ni kisiwa katika Bahari ya Karibi. Kwenye kisiwa hiki kuna nchi mbili, moja ni Haiti (wanapoongea Kifaransa au sheng yake) na nyingine ni Jamhuri ya Dominika (wanapoongea Kihispania).
Nahisi ulitaka kuuliza kama kuna watu wanaopenda kuongea nawe "Kihispania" ambayo lugha ya nchi ya Hispania, pamoja na nchi nyingi za Amerika Kusini.
 
Hii lugha naipenda tatzo siijui tu
Najua baadhi ya maneno kama
Amigos,messi,pique etc
 
Back
Top Bottom