Kwa wale wapenda movie. Karibu nikusaidie kuipata

Kwa wale wapenda movie. Karibu nikusaidie kuipata

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu ndio nimeanza kuuza movie online natoa ofa mpak mwezi wa saba nitakua natuma movie bure kabisa iwe imetafsiriwa au haijatafsiriwa link nakutumia pm nikiweka hapa mods wanafuta uzi wangu:

Kwasasa sipo whatsapp nitatuma link pm na instagram pekee unachotakiwa kufanya ni kunitajia jina la movie tu nami nakuwekea link PM bureee mpak mwezi wa 6 nitakua hapa nikiwaburudisha

Wakuu niwaombe radhi kwa ukimya kuna mambo nilikua sina sasa nimekamilisha nafikiri haka kwa ofa nitasogeza hadi mwezi wa Sita mwishoni

Wakuu mambo nimeshaweka sawa anayetaka movie yeyote iliyotafsiriwa na hazijatafsiriwa a nicheki WhatsApp +255766897761 kwa sasa nitatuma free mpaka tarehe 25 mwezi huu wa 6
 
Wakuu ndio nimeanza kuuza movie online natoa ofa mpak mwezi wa saba nitakua natuma movie bure kabisa iwe imetafsiriwa au haijatafsiriwa link nakutumia pm nikiweka hapa mods wanafuta uzi wangu:

Kwasasa sipo whatsapp nitatuma link pm na instagram pekee unachotakiwa kufanya ni kunitajia jina la movie tu nami nakuwekea link online bureee mpak mwezi wa 7 nitakua hapa nikiwaburudisha
Aashiqui 2. Ni movie ya kihindi
 
Yaani kwamba hiyo muvi nanunua kwa pesa alafu tena niwe na pesa za MB za kudownload?
 
Wakuu ndio nimeanza kuuza movie online natoa ofa mpak mwezi wa saba nitakua natuma movie bure kabisa iwe imetafsiriwa au haijatafsiriwa link nakutumia pm nikiweka hapa mods wanafuta uzi wangu:

Kwasasa sipo whatsapp nitatuma link pm na instagram pekee unachotakiwa kufanya ni kunitajia jina la movie tu nami nakuwekea link PM bureee mpak mwezi wa 7 nitakua hapa nikiwaburudisha
Mohra

Koyla

Aatish

Vijaypath

Ghajin

Akele hum akele tum

Qayamat se qayamat

Tridev

Vishwatma

American cyborg

Sio za kustafsiliwa
 
Wakuu ndio nimeanza kuuza movie online natoa ofa mpak mwezi wa saba nitakua natuma movie bure kabisa iwe imetafsiriwa au haijatafsiriwa link nakutumia pm nikiweka hapa mods wanafuta uzi wangu:

Kwasasa sipo whatsapp nitatuma link pm na instagram pekee unachotakiwa kufanya ni kunitajia jina la movie tu nami nakuwekea link PM bureee mpak mwezi wa 7 nitakua hapa nikiwaburudisha
Mkuu kuna movie naitafuta ila nimeisahau jina..

Ilikua ni ya kichina au kijapani hivi kitambo aisee, kuna jamaa alitumwa akamuue boss flani hivi. Jamaa alienda akamuua kanisani alikua amejificha chini ya gari akamwagia risasi za kumwaga. Sasa za genge la yule mzee aliyeuwawa wakaanza kumuwinda jamaa. Hapo ndo kuna uhondo wa muvi na kuna mdada mmoja alimsaidia.
Mwisho wa siku anarudi na kwa yule aliyemtuma cha ajabu tena huyo aliyemtuma akamchapa risasi. Humo kuna jamabazi lilikua kishingo linapenda kuchezesha sana shingo.
Mwanzo nilikua najua inaitwa bad guys ila nimeitafuta kwenye platform zote sijaiona mzee kama unaijua hebu nisanue naitafuta sana
 
Mkuu na kuna muvi flani yankihindi inaitwa MERA kama unaweza pia nipe link
 
Back
Top Bottom