Kwa wale wapenzi wa celebrities forum tu

Hivi ni kweli Harmo anazaa na mzungu?
Binafsi nataka taarifa yeyote iliyopo hoy kasoro ya harmorapa
 
Tuwekee habari za Le Mutuz le Mbururaz ze akili kubwaz ze digri sabaz ze wabebez Hahahaha u know [emoji23][emoji23][emoji23]
d24364bc20e92e25797763c6ca2905d4.jpg
 
Wewe hance mbon umeniacha njia panda jaman
 
Kwa wale wapenzi wa jukwaa letu pendwa la celebrities forum ,leo nataka mniambie mnataka mada zipi au celebrity/celebrities wepi mnataka tuwajadili kwa mapana zaidi?

Maana niliamua kukaa kando kidogo kwenye kuandaa mada humu jukwaani ili kupisha vijana kidogo na wao watuoneshe walichonacho.

Lakini kwa masikitiko makubwa kabisa hili jukwaa likawa linadidimia kila kukicha maana kila nikiingia sioni mada ya kuchangamsha jukwaa .

Hivyo basi ni jukumu langu mimi na nyinyi wenzangu tuungane ili tulifufue jukwaa letu pendwa

Nakaribisha maoni

Karibuni

View attachment 500275
Shilole na vanessa mdee
 
Is this like tanzanian celebrities tu?!! Au
 
Back
Top Bottom