Kwa wale wapenzi wa kitimoto, ona roast ya kitimoto hapo

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Nishasema kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Nguruwe ni haramu[emoji1787]
Narudia nguruwe ni haramu[emoji1787]

Hiyo menyu ni balaa full majaribu[emoji23]
Nireteeni mbusi
Nireteeni mbusii
Nasema nireteeni mbusiiiiii
Rakini mbona mbusi haiwi hivyo ndugu zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My take:Simple and clear wanaokula kuleni kama imani yenu inawaruhusu, msiokula msile kwa kua imani yenu inawazuia.Cha muhimu tu kila upande usimletee shida mwenzio kama huli kausha waachie wanaokula wale, na kama unakula kila kistaarabu usifanye jambo ambalo litawaumiza wasiokula...Kila kitu na mipaka yake...Ushauri bora....kila mtu atabeba msalaba wake peke yake...kila mtu ana uhuru..tusiingiliane
Kimaro nishasema[emoji39][emoji39]
FB_IMG_16070167256560789.jpeg
FB_IMG_16070167204546755.jpeg
FB_IMG_16070167147584935.jpeg
FB_IMG_16067332094614862.jpeg
FB_IMG_16067332042729767.jpeg
 
Inaonekana INAVUTIA kwelikweli....

Japo mimi siili...kiimani...na kiitikadi...ila mkila ninyi masela wetu mbona SHEGA TU....

Tunawaacha mle hizo kilokilo na KACHUMBARI za buku mbili....🤣

Mkimaliza tutajiunga nanyi "maskani" tupige stori za UCHUMI WA KATI na MAENDELEO YASIYO VYAMA.....

LIFE'S ALL BOUT SHARING EXPERIENCES....
 
Nishasema kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Kitimoto ni dhambi[emoji1787]
Nguruwe ni haramu[emoji1787]
Narudia nguruwe ni haramu[emoji1787]

Hiyo menyu ni balaa full majaribu[emoji23]
Nireteeni mbusi
Nireteeni mbusii
Nasema nireteeni mbusiiiiii
Rakini mbona mbusi haiwi hivyo ndugu zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

My take:Simple and clear wanaokula kuleni kama imani yenu inawaruhusu, msiokula msile kwa kua imani yenu inawazuia.Cha muhimu tu kila upande usimletee shida mwenzio kama huli kausha waachie wanaokula wale, na kama unakula kila kistaarabu usifanye jambo ambalo litawaumiza wasiokula...Kila kitu na mipaka yake...Ushauri bora....kila mtu atabeba msalaba wake peke yake...kila mtu ana uhuru..tusiingiliane
Kimaro nishasema[emoji39][emoji39] View attachment 1640976View attachment 1640977View attachment 1640978View attachment 1640979View attachment 1640980
🤣🤣🤣

Kwa nini Mungu alimuunba nguruwe huku anajua fika kabisa ni haramu.
Mkuu hizo habari za haramu ziko kiimani na kitamaduni....

Imani haishikiki(not tangible)...

Ila ukiwa huria juu ya kila kitu....basi jua pia kuna WATU wasio na MIPAKA kwenye NGONO na KUJAMIIANA....

Wako wanaoona "kumwendea" dada wa damu,mtoto wa kumzaa,mtoto wa ndugu,Mjukuu SI TATIZO na WALA MSHIPA HAUWAPIGI...kwani kwa maneno yako "Mungu ameumba hivyo viungo"....

Wako wanawaendea WANAUME wenzao na wala mshipa HAUWAPIGI ..kwani Mungu "kaumba" hayo "wayatumiayo".

Kupanga ni kuchagua budaaa....
 
Kwa nini Mungu alimuunba nguruwe huku anajua fika kabisa ni haramu.
Wanateseka sanaaa.

Nitakupa mfano kiongozi bidhaa za Bakhresa zote zimethibitishwa na na HALAL FOOD iliyoko Nairobi ina maana haina wanachokiita haramu kwa imani yao.

Wakati huohuo wanatumia smartphones na bidhaa zote zilizoundwa na wala nguruwe, mfano China wanatandika kitimoto wanaingia kiwandani wanatoa bidhaa wanakuja wanatumia 😝😝
 
hujui unachokiongea kijana
 
Raha ya kitimoto muwe watu watano.
Ziwepo roast kilo 4 na ndizi kumi na tatu na sauce ya kutosha na zile pilipili ndefu..
Sanjari na hiyo kuwepo na kavu kilo mbili na kachumbari nyingii.
Halafu awepo chali mmoja ambaye Hana hela mchango wake Ni stori mafuriko ya beer yakianza.
Sehemu yenyewe iwe chini ya mti wenye kivuli halafu bar iwe na mabarmeid wazuri wakichaga waliochangamka.
 
Back
Top Bottom