Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhhahah Njooy piga sana mdudu,hata alivyohamia clouds view bado huwa naenda kugonga menyuTojo wapiiiiii mdudu [emoji38][emoji38][emoji3] yule babu wa Njooy now yuko Clouds view Raskazone. Ni nomaaa
Kuna waislamu safi halafu kuna waislamu kichefuchefuWe jamaa ni muislamu safi sana! Ni muislamu anayeijua dini yake na asiyeendeshwa na hisia bali fact!
Nilikuona hata kwenye uzi ule wa Thomas Aquinas jinsi ulivyokuwa ukimjibu yule muislamu mwingine!!
Nakukubali sana mkuu, Salute!
Hahaha [emoji119],naqubal mwambaInaonekana INAVUTIA kwelikweli....
Japo mimi siili...kiimani...na kiitikadi...ila mkila ninyi masela wetu mbona SHEGA TU....
Tunawaacha mle hizo kilokilo na KACHUMBARI za buku mbili....[emoji1787]
Mkimaliza tutajiunga nanyi "maskani" tupige stori za UCHUMI WA KATI na MAENDELEO YASIYO VYAMA.....
LIFE'S ALL BOUT SHARING EXPERIENCES....
Ushauri makini sana huuMkuu hizo habari za haramu ziko kiimani na kitamaduni....
Imani haishikiki(not tangible)...
Ila ukiwa huria juu ya kila kitu....basi jua pia kuna WATU wasio na MIPAKA kwenye NGONO na KUJAMIIANA....
Wako wanaoona "kumwendea" dada wa damu,mtoto wa kumzaa,mtoto wa ndugu,Mjukuu SI TATIZO na WALA MSHIPA HAUWAPIGI...kwani kwa maneno yako "Mungu ameumba hivyo viungo"....
Wako wanawaendea WANAUME wenzao na wala mshipa HAUWAPIGI ..kwani Mungu "kaumba" hayo "wayatumiayo".
Kupanga ni kuchagua budaaa....