Ulipenda tangazo ama hako kadada kalikokua kanajigeuza geuza?Kuna lile la dawa tatu kombe la dunia 2006 kuna watu lilikuwa linawakera ila mimi nililipenda hatari.
Je una maumivu ya flu?, je una maumivu ya mgongo? je una maumivu ya kichwa?
Tumia dawa tatu. Kale kadada kanajigeuzageuza tu.
duh!hii kali jamanTangazo sure. Napenda matangazo hatari.
Kuna matangazo kama lile la Chai Jaba sema nimelisahau kumbukumbu zinanipotea ila lilikuwa kali yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili tangazo ni nooma.. kuna lile pia kalifanya la LAPF kastaafu Kala mafao kajenga nyumba katulia na mke wake kaja rafiki yake ambaye alikuwa kwenye mfuko tofauti eti anatafuta kazi.Kama kawaida ya Kasie kupenda kucheka mizaha na masihara. Mie nililipenda tangazo la ivory cocoa alilotangaza mzee majuto hasa pale bukta inapokuwa inadondoka hahahahahahaa.
Matangazo ya vichekesho kwangu nayapenda.
Kasie Dadiiiiii.
Mbiti napenda jokes na mizaha saana.Daby leo umekunywa kinywaji gan? maana nimeishia kucheka tu dah
Mbiti napenda jokes na mizaha saana.
Sasa kuna mtu anajua napenda matangazo kanitumia Tangazo moja la malaria.
mtoto anamuuliza babake.
mtoto: baba ndege inapaaje angani
Baba: he he he he mwanangu hayo ni mambo ya kitaalamu saana.
Mzee kilaza saana kashangaaa saan. Eti he he he [emoji23] [emoji23]
Sijaliskia nirushie basi.The Namba one Tangazo for me ni Vodacom Pindua Pindua
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa akifika mzee ya kikck naongezaga sauti kabisa ! maana ananitamanisha sana sana !nalala byeWewe kalalee.. itakuwa unaikomalia-ga taarifa usikie magu atakachosema
Lile anadaiwa na mpoki mara anapigiwa simu na biko kashinda.[emoji23] [emoji23]Napenda tangazo la biko la joti na mpoki sijui ni vile napenda mahela ila huwa linanifurahisha sana mgonjwa alikuwa hoi kuambiwa kashinda biko na nguvu kapata