Kwa wale wapenzi wa matangazo ya TV na Radio, tangazo lipi unalipenda?

Kwa wale wapenzi wa matangazo ya TV na Radio, tangazo lipi unalipenda?

Tueleze siri ya mafanikio yako.....natumia revola
Kwani muonekano wake ni tulivu na huniweka mrembo mchana kutwa

Nakumbukakumbuka baadhi ya maneno
Kwa anayekumbuka zaidi atuandikie
Aisee umenikumbusha mbali sana,niliwahi kumuuliza jamaa yangu mmoja akaniambia kwamba yule Dada alifariki sijui nikweli ama vipi,ila umepatia kweli yale maneno aliyokuwa akiyasema kwenye lile tangazo.
 
Back
Top Bottom