Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Ya kuniita mrs billieMbona umestuka hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kuniita mrs billieMbona umestuka hivyo?
Nisamehe ila kuna sababuYa kuniita mrs billie
Aisee umenikumbusha mbali sana,niliwahi kumuuliza jamaa yangu mmoja akaniambia kwamba yule Dada alifariki sijui nikweli ama vipi,ila umepatia kweli yale maneno aliyokuwa akiyasema kwenye lile tangazo.Tueleze siri ya mafanikio yako.....natumia revola
Kwani muonekano wake ni tulivu na huniweka mrembo mchana kutwa
Nakumbukakumbuka baadhi ya maneno
Kwa anayekumbuka zaidi atuandikie