osward ni ajeeee[emoji23][emoji23]Kuna matangazo ya eazypesa yalikuwa yanarushwa eastafrica radio ya mmasai anaitwa lomayan na jamaa yake oswald yalikuwa yananichekesha hatari...
Tukikaa wote tutagombana napenda commercial break saana. Tangazo nililowahi kulichukia la pedi freestyle anavyooshesha zinavyovaliwa.Sipendagi matangazo hivyo yyakianza nabadili chanel. Kipindi cha kombe la dunia pekee ndio huwa nayaangalia.
Hahahaaaa!! Hutaki kuona zinavyovaliwa?Tukikaa wote tutagombana napenda commercial break saana. Tangazo nililowahi kulichukia la pedi freestyle anavyooshesha zinavyovaliwa.
Ooooh nashukuru kwa taarifa.Kesho pay day yake mbane.
Hahaha.. mimi lomayanosward ni ajeeee[emoji23][emoji23]
Aisee umeniwahi hili tangazo. Osward na mzungu wake. Nilikuwa nalipenda sanaKuna matangazo ya eazypesa yalikuwa yanarushwa eastafrica radio ya mmasai anaitwa lomayan na jamaa yake oswald yalikuwa yananichekesha hatari...
Ili uwe rubani sharti ulale kwenye chandarua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbiti napenda jokes na mizaha saana.
Sasa kuna mtu anajua napenda matangazo kanitumia Tangazo moja la malaria.
mtoto anamuuliza babake.
mtoto: baba ndege inapaaje angani
Baba: he he he he mwanangu hayo ni mambo ya kitaalamu saana.
Mzee kilaza saana kashangaaa saan. Eti he he he [emoji23] [emoji23]
kuna moja aliua "ananiita beby[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha.. mimi lomayan
Sasa aliyekuwa ananichekesha ni lomayan akipewa aongee na demu wake osward... hello princess hahaha.
Akimaliza anapewa osward anamuuliza arifuuu umemdanganya mtoto wewe ni chifuuu nini [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa,,kweliii,,nilikua najiuliza snMengine ni matangazo ya vifo radio one yaani unaweza sema wanaokufa tz ni wachaga tuu