Kwa wale wapenzi wa soka tu, pitia hapa (inaweza ikakusaidia)

Bei yake imekaaje na hayo malipo yakoje sheikhe nahitaji sana hii kitu
 
Kama a natumia internet ina maana haina tofauti na mtu anaetumia app ya android ama website wanazotumia kwenye pc. Hio ni iptv.

Hapo itakuwa tu hio decoder ina support iptv.
mgeni kidogo na hyo ipt maelekezo tafadhali,,
 
mhh! nani anahusika na kamatakamata hii
 
Kwa kutumia Simu ya mkononi ni App gani nzuri kuangalia football live wakuu. Msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…