Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
ulikuwa wapi siku zote?Mumfuate anakoenda. Simba ni kubwa sana. Manara alikuwa mtu mdogo aliyekuzwa na Simba na baadaye akadhani yeye ni Simba pia.
Mimi sikuwa napenda aina ya usemaji wake muda mrefu sana. Nlikuwa natamani aondolewe. Hatutaki wasemaji wa hovyo hovyo kwa simba ya sasa.
Ni sawa!!Kwa hiyo ndio akubali kuendelea kudhurumiwa tu?!akatae offer nzuri za matangazo ya biashara toka makampuni mengine kwa hiyo mia 700!!Huo ndio ukweli, manara amekuzwa na simba
Mumfuate anakoenda. Simba ni kubwa sana. Manara alikuwa mtu mdogo aliyekuzwa na Simba na baadaye akadhani yeye ni Simba pia.
Mimi sikuwa napenda aina ya usemaji wake muda mrefu sana. Nlikuwa natamani aondolewe. Hatutaki wasemaji wa hovyo hovyo kwa simba ya sasa.
Haishangazi. Kama WALIMNUNUA STIVE LIALIA wa Yanga, ambaye hana lolote, watamshindwa huyooo?
Kwani si ndugu yake au ?Chori chori bachani! Tajiri iko wivu na chuki na chepuko yake, taka miliki simba pamoja hio View attachment 1881796
Simba siyo Mo.
Manara hajaikosea Simba, Manara ni mwanachama amezozana na mwanahisa tu.
Njaa na unyonge wa fedha inawatafuna wafuasi wote wa Mo
Utopolo mwenyeweManara ameisaliti Simba.
Lengo lake Mo aondoke kisha utopolo watawale tena soka hapa nchini.