mudy92
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 671
- 531
First of All niwape pongezi za haja kwakulinda maisha yenu kwa kuvaa kondom kila mnapo fanya mapenzi, afya ni utajiri
Ishu yangu kwa wadau wa salama (3BOMBA,HALISI) wale wa DUME na zile za kithungu kama ROUGH RIDER na mengineyoo nilikuwa na swali.
Hivi yale maji maji ya uke ambayo yanagusa katika shina la uume wakati wa kufanya mapenzi na mengine kugusa hata mapu.mbu hivi hayana hatari ya kuleta maambukizi ya STDs ikiwemo na UKIMWI kwa mlengwa haswa mwanaume?
Vaa kondom utimize ndoto zako
Wasalam