Kwa wale watumiaji wa "kondomu"

Kwa wale watumiaji wa "kondomu"

Kusema kweeli hii mvua imesaidia kuanzishwa kwa hii mada kiufupi tunatiana nyege tu
 
First of All niwape PONGEZI za haja kwakulinda maisha yenu kwa Kuvaa KONDOMU kila mnapo pigana MITI, Afya ni utajiriii...

Ishu yangu kwa wadau wa SALAMA (3BOMBA,HALISI) wale wa DUME na zile za kithungu kama ROUGH RIDER na mengineyoo!! nilikuwa na Swali...

Hivi yale maji maji ya UKENI ambayo yanagusa katika shina la MBO.O wakati wa kupigana Miti na mengine kugusa hata MAPUMB.U hivi hayana hatari ya kuleta maambukizi ya STDs ikiwemo na UKIMWI kwa Mlengwa haswaa mwanaume???


Vaa KONDOMU utimize ndoto zako
Wasalaaam!!

Punguza salakasi nyingi wakati wa tendo ili kuepuka vitu kama hivyo
zoezi lenyewe ni rahisi sana ni kuingiza na kutoa mpaka unakojoa sasa wewe unaleta sarakasi kibao utadhani huyo ni mkeo
 
Mkuu kama nimekupata vizuri unamaanisha percent zilizopo tayari zikatwe, meaning waathirika waliopo tayari wafe wote au vipi, ili tubakie wapya tutakaotengeneza hiyo 0.1, hahaha

Hahaaaaaaaaaa watu mnawaza mbali jaman kaa..!!!

mshikaj mu-uaji huyu... teh teh teh...
 
Situmii condom kwanza nikivaa hazifiki kwenye shina... Halafu zinanibana sana mpka uume unaumia, nikivaa condom nachelewa kabisa kufika kileleni dk 50... nikipiga kavu dk 10 tu nimefika kileleni.
 
Kondomu moja kwakila tendo moja...hakuna makeke kwan umesikia mashindano hayo...hapa nina pakti ya dume mfukon atakaye jichanganya na hiki kimvua ameliwa...
 
Dawa unavaa boxa ya tundu mbele na ndom inakua imepitiliza mpaka ndan so no maj maj kukugusa.
Au unapiga juujuu tuu.


mkuu taabu zote hizo za nini, si afadhali uache tu kufanya hayo mapenzi...
 
Back
Top Bottom