Kwa wale watumiaji wa "kondomu"

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
531
First of All niwape pongezi za haja kwakulinda maisha yenu kwa kuvaa kondom kila mnapo fanya mapenzi, afya ni utajiri

Ishu yangu kwa wadau wa salama (3BOMBA,HALISI) wale wa DUME na zile za kithungu kama ROUGH RIDER na mengineyoo nilikuwa na swali.

Hivi yale maji maji ya uke ambayo yanagusa katika shina la uume wakati wa kufanya mapenzi na mengine kugusa hata mapu.mbu hivi hayana hatari ya kuleta maambukizi ya STDs ikiwemo na UKIMWI kwa mlengwa haswa mwanaume?

Vaa kondom utimize ndoto zako

Wasalam
 
Daktari akamshauri akimaliza tu sharti kimbilia kunawa au kuoga usiziacha. Zikakaa hata dakika 5
 
Hapo ukikojoa tu ni kuoga faster kama ZUMA

imenitokea katika kupiga mti nikamchana Internal akatoa damu zikagusa MAPUMB.U na sehemu za mwisho wa kondomu ktika shina la mboo!!
 
condom umeokoa maisha yangu, ubarikiwe condom

nadhani ni wakati wa serikali kugharamia KONDOMU na zigawiwe bure kwa kila mtu hapa nchini...

till 2018 tuwe tuna 0.1 ya HIV kila mkoa
 
HIvi yale majimaji ya kwenye maku yanayogusa mapumbu wakati demu amekukalia juu hayana madhara ??maana isikute tunapoteza muda tu wakati ngozi ya pumbu ni laini na ina vitobo vinavopitisha hewa kwa ukaribu mnoo. Ndio maaana ukichukua spirit ukapaka kwenye pumbu utaisikilizia hadi kwenye moyo...tuweni waangalifu sana hasa hasa kwa staili ambazo mwanamke anakukalia juu ....
 

Ni majanga
 

Dawa unavaa boxa ya tundu mbele na ndom inakua imepitiliza mpaka ndan so no maj maj kukugusa.
Au unapiga juujuu tuu.
 
Bado mnatumiaaa kondom...kavukavu ndio habar ya mjini

sie wanunuaji na wato.mba malaya kondomu ni kama posho na wabunge hazitengani hizo japo mnafiki zit.to hataki ila za PAC kama kawa
 
nadhani ni wakati wa serikali kugharamia KONDOMU na zigawiwe bure kwa kila mtu hapa nchini...

till 2018 tuwe tuna 0.1 ya HIV kila mkoa

Mkuu kama nimekupata vizuri unamaanisha percent zilizopo tayari zikatwe, meaning waathirika waliopo tayari wafe wote au vipi, ili tubakie wapya tutakaotengeneza hiyo 0.1, hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…