Kwa wale wazoefu wa DIT - Msaada Tafadhali!

Kwa wale wazoefu wa DIT - Msaada Tafadhali!

JAMES EDWIN

Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
29
Reaction score
1
Wakuu,

Katiika tararibu za masomo ya DIT, unapochaguliwa na serikali kusoma hapo suala la chakula na malazi nayo yanatolewa ama kila mmoja wa hao wachaguliwa wanajitegemea?

Tafadhali kwa anae jua anijuze.

Asante.
 
Unalishwa kabisa...(simple question to simple answer)..
 
Je wale DAY students bt wapo under gvt sponsorshp wanapatkana vp?
 
Hauwez ukawa day km upo under gvt! labda bachelor second year! kwan umesha chaguliwa? nijb nikueleze!
 
Hauwez ukawa day km upo under gvt! labda bachelor second year! kwan umesha chaguliwa? nijb nikueleze!
 
Kaka mm nna C phyc, math& engl bt D chem nilweka first choice bt am not sure kama nitachaguliwa
 
Vlvle nltak kujua kwamb unatakiwa upate GPA ngap mpak upate mkopo kuxoma degree?
 
Back
Top Bottom