JAMES EDWIN
Member
- Sep 6, 2012
- 29
- 1
Wakuu,
Katiika tararibu za masomo ya DIT, unapochaguliwa na serikali kusoma hapo suala la chakula na malazi nayo yanatolewa ama kila mmoja wa hao wachaguliwa wanajitegemea?
Tafadhali kwa anae jua anijuze.
Asante.