Kwa wale wenye kutia shaka juu ya Tanzania kuipita Kenya kwa idadi ya matajiri, jibu lipo hapa

Nikupe ripoti ya 2018 utoe hyo 500 uone utapata ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa!!unapigwa na ripoti yako mwenyewe[emoji1787][emoji1787]
Unaleta source kujitetea kumbe hujui km itakuumbua mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi ni stupid na hamna akili kabisa, soma post #3 hapo juu kama sikujibu hilo swali lake, acheni kuweweseka Knight Frank is a global reputable body, ninyi watu wa Kibera mnaojisaidia katika mifuko ya plastic hamna uwezo hata 0.001% kuwakosoa. Tanzania imewazidi sana kwa matajiri, hamuwezi kushindana na Tanzania labda katika rushwa pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mambo ya 2013 ndio unatuletea hapa?
 
Tajiri ni mtu mwenye kiasi gani cha fedha?
Milionea ni mtu mwenye utajiri wa kiwango gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forget about the percentages, focus more on the numbers. The report clearly states that Kenya had 8,300 dollar millionaires in 2013 and was ranked the fourth in Africa after SA, Egypt and Nigeria. How come this number has dropped to 2,000 ukiondoa 500?
 
tuusan kuja uone Ile ripoti ya knight Frank haimake sense sasa Kenya itatokaje kua na millionaire 8500 Hadi sijui 150? Tanzania nayo inatoka kutoka Hadi 5600 Hadi 200? Na hii yoteni after 7yrs,yaani idadi ya millionaires kutoka SA itoke over 40k Hadi below 10k .... keep in mind JSE ni kubwa ata kushinda Moscow security exchange?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is s very shallow analysis. These natural resources you are flaunting here ni vitu zimekuwa Tanzania since time immemorial ila bado tuliwashinda Kwa idadi ya millionaires, GDP na per capita income. Do not talk as if madini ni kitu iligundulika Tanzania leo asubuhi
 
Kwa hivyo 8,300-500=2,000?
Hivyo ndo mnafundhishwa St. Kayumba?
 
Hahahaaa!!unapigwa na ripoti yako mwenyewe[emoji1787][emoji1787]
Unaleta source kujitetea kumbe hujui km itakuumbua mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bongolala anakuanga mjinga kuruka. There's another one called ichoboy, yeye pia analetanga links ambazo hajui content inasemaje mwishowe anajiaibisha. Hawa wawili ni kama walizaliwa na baba mmoja
 
Ni wapi hiyo ripoti yako inasema kwamba Tanzania imeongeza millionaires at a rate of 51% kila mwaka? The report clearly says that dollar millionaires in Tanzania increased by 51% between 2007 and 2013. How is that annual growth as you put it?

Secondly, there's nowhere the report says that Kenya's growth has been declining every year. It is well written that the number of dollar millionaires has increased by 24% between 2007 and 2013. It is only last year that Kenya lost 500 millionaires from her bucket.

Najua kizungu huwa ni kizungumkuti kwenu but that doesn't mean you should be stupid to comprehend simple things
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chukua muda kusoma hio ripoti umeweka hapa...wacha kushangilia kwa kusoma headline peke yake.
Wakenya mmeanza kupingana na wazungu mnao wasujudia tuliwaambia huu mwaka ukweli utatika kwa mabeberu wenyewe na kwa wakenya wenyewe msije sema mi ni nabii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…